hiyo cm ni ya kchina au nokia orginal na inadai security code au unlock code kama ni nokia org na ujabadili code ukaingiza zako basi ingiza 12345 ikigoma inamana zimebadilishwa mpaka kwa computer au mwenye nayo anazijua code zake ukihitaji msaada zaidi ata kama ni yakichina ni pm