Nokia 6070 Unlock Code

Mhigomkami

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
828
481
NAOMBA MSAADA WA UTAALAM:

jamani naomba msaada wa unlock code ya simu aina ya Nokia 6070.
 
hiyo cm ni ya kchina au nokia orginal na inadai security code au unlock code kama ni nokia org na ujabadili code ukaingiza zako basi ingiza 12345 ikigoma inamana zimebadilishwa mpaka kwa computer au mwenye nayo anazijua code zake ukihitaji msaada zaidi ata kama ni yakichina ni pm
 
vitu muhimu viwili inahitajika kabla ya ku unlock simu

  1. Service provider which the phone is locked in and country(eg Vodacom( RSA, UK, Tanzania)Orange,Safaricom, etc

  1. Phone IMEI No: This is unique to identify one phone from the other.
    Your phone IMEI number is obtained by entering *#06# into the phone. or check behind the battery

NB
You can only make Five(5)attempt to unlock the phone manually. Trying 5 attempts unsucessfully mean u will need to send to unlock it using special sofware
 
I got code kufungua kutoka maeneo ya Juu na unlocked hiyo, unaweza pia kupata kutoka kwa mtoa huduma na kufungua hiyo.
 
You can get the Unlock code from the service provider and unlock it from network lock.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom