Mbava Member Joined May 18, 2011 Posts 30 Reaction score 1 May 26, 2011 #1 Habari wana Jf bila kumsahau guta. Kuna hii simu ya Nokia 5800 music express, touch screen ya korea ina ubora ule ule kama za Europe?
Habari wana Jf bila kumsahau guta. Kuna hii simu ya Nokia 5800 music express, touch screen ya korea ina ubora ule ule kama za Europe?
Cestus JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 987 Reaction score 132 May 26, 2011 #2 labda kama ungeweza kutoa betri,upige picha kile kikaratas cha ndan kinachonyesha made in wap then uweke hapa ili uweze kuhakikishiwa kama ni fek au la!au jaribu ile code ya *#0000# uone kama itakuletea info za cm,ispoleta ni mchina na umeliwa!
labda kama ungeweza kutoa betri,upige picha kile kikaratas cha ndan kinachonyesha made in wap then uweke hapa ili uweze kuhakikishiwa kama ni fek au la!au jaribu ile code ya *#0000# uone kama itakuletea info za cm,ispoleta ni mchina na umeliwa!