naomba msaada mana sm yangu kwa sasa inagoma kufungua opera min ya 5.1.nimejalibu kudonwload nyingine ya 6.5 imekubali tatizo inagoma kudonwload.naomba msada
Nokia 2700 inakubali kudownload mafile[apps] ambazo ziko kwenye form ya jar file kwa hiyo pindi unapodownload operamin uangalie ipo kwenye jar ndipo udownload.