NOKIA 2.1 ushauri tafadhali

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,646
Reaction score
9,623
Nimevutiwa sana na ujio wa NOKIA sana sana specification zake pamoja na bei yake ambapo ina range 250k-270k!
Betri 4100 mAh
Kwa kua sijatumia brand ya Nokia naomba wenye uzoefu nazo wanishauri
!
 
kwakuwa nimeona hapo chipset yak ni Qualcomm MSM8917 hyo Simu ipo fresh
 
Hiyo sikushauri kwa mwaka 2018 kuelekea 2019, kwani inatumia manufacturing technology ya kizamani sd 425 (28 nm), japo ina battery kubwa itakuwa haitunzi chaji kwa muda mrefu. Low-end nyingi za sahivi zinatumia manufacturing technology 14nm na 12nm simu inakuwa more power efficiency.
 
kwakuwa nimeona hapo chipset yak ni Qualcomm MSM8917 hyo Simu ipo fresh
Nashukuru mkuu maana nilihofia kwa kua nokia walisuasua kutoa simu za Android nikawa na mashaka nisijejutia hela yangu
 
Naahukuru kwa. Mchango wako mkuu kilichonivutia ni bei yake around 250k camera 8.MP na ukubwa wa betri huko kwingine sio mtaalam sana isitoshe sina kaI kubwa sana za kufanya kwenye cm!
 
Naahukuru kwa. Mchango wako mkuu kilichonivutia ni bei yake around 250k camera 8.MP na ukubwa wa betri huko kwingine sio mtaalam sana isitoshe sina kaI kubwa sana za kufanya kwenye cm!
Mkuu kama alivyosema mdau hapo juu hawa watengeneza simu nk wajanja sana wanakuekea battery kubwa kisha wanakuekea na processor inayokula chaji mwisho wa siku ukaaji na chaji unakuwa wa kawaida.

Pia anaetengeneza simu hizo sio Nokia kuna kammpuni imenunua jina inatengeneza hizo simu. Nokia wenyewe wameacha kutengeneza simu.

Advantage ya hio simu ni kwamba inatumia stock android na inapata updates za haraka kuliko simu nyingi.

Ila kwa 2019 inayokuja hii 1gb ram ni ngumu kumeza. Tafuta simu yenye angalau 2GB ram.
 
Nashkuru mkuu! Duh Kumbe Nokia wameacha kutengeneza cm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…