Wakuu naombeni msaada simu ya nokia 1200 iliingia maji ina wiki moja haiwaki nimeipasha na mashine lakini bado haiwaki nifanyeje naomba msaada segos
Wakuu tecno svn:78 ya laini tatu inawaka wakati mwingine inazima nifanyeje nimejaribu kuipashapasha na mashine ila bado mda mwingine inasumbua nifanyeje wakuu?