Je naweza tumia kama mifi router data?ni za 2017? kama 2017 ni around 50,000 kama ni 105 ile ya kawaida inapatikana rahisi zaidi.
ya 2017 ipo round kwenye kona
wakati ile original 105 kwenye kona ipo pembe nne zaidi.
ya kwanza ndio ya 2017Mkuu ni iyo ya 2017 yakwaza juu uliyoweka?
zantel wana mifi ya 4g kwa 75,000 ila sijafanya utafiti kama wana unlock.Je naweza tumia kama mifi router data?
Samahani Mkuu, mifi ndo kitu gani?zantel wana mifi ya 4g kwa 75,000 ila sijafanya utafiti kama wana unlock.
kwa simu ambazo sio 4g unapata kwa bei hio, cheki kupatana.
hizo ni bei bila ku unlock mkuu, zinaingia line zote. sio simu za mtandao.Gharama za ku unlock mkuu?
kimazoea mifi ni mobile router, kirouter flani kidogo unaeka line kinasambaza wifi. kipo kama hivi.Samahani Mkuu, mifi ndo kitu gani?
Vipi speed yake...i.e. kama simu unakuta wamekuandikia LTE cat 6: 300MB/skimazoea mifi ni mobile router, kirouter flani kidogo unaeka line kinasambaza wifi. kipo kama hivi.
zipo model nyingi. minimum inakuwa cat 4 150mbpsVipi speed yake...i.e. kama simu unakuta wamekuandikia LTE cat 6: 300MB/s
Je hicho kidude kinaendaje speed yake?
Mkuu mie ningependa kufahamu zaidi uhusiano wa mifi na wifi kupitia hivyo visimuzipo model nyingi. minimum inakuwa cat 4 150mbps
hakuna mahusiano ya hio mifi na hio nokia. na faida yake ni kuwezesha kifaa zaidi ya kimoja kuwa connected. modem ya kawaida huconnect kifaa kimoja tu.Mkuu mie ningependa kufahamu zaidi uhusiano wa mifi na wifi kupitia hivyo visimu
Faida yake hasa ni ipi? Maana Nokia 105 sidhani Kama inawezekana