Elisha Ray
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 323
- 94
yeah tetesi zipo toka kipindi hicho alipotoweka....ni kama ilivo kwa adolf hitler
nani kauona wa balali?
hahaaa!! Nobody. Eti alichomwa mara kazikwa kule kule states...! kuna picha niliiona facebook wadau waliweka ya Balali akiwa supermarket doing some shopping...
Mbona mimi nipo na Tupac sasa hivi in my crib?......
Mkuu hiyo ya Tupac kuperfom juzi ni teknolojia tu ilitumika, na wana mpango hata kufanya concert ya Beetles kwa kutumia teknolojia hiyo: YULE HAKUWA TUPAC NI TEKNOLOGY TU.
ukisikiliza pia baadhi ya nyimbo zake Pac anazungumzia mambo ya kudisappear na ishu za illuminati. Hitler nae alipotea hakuzikwa?