Noah inauzwa

Noah inauzwa

Kwahito bei jipange aisee huwezi kupata milele
 
Gar ni ya mwaka 2000,ipo dar,, nimetumia miezi mitano,,,, asante kwa OFFER mwisho ni 13mil

Mtanzania akikwambia katumia miezi mitano Ongezapo yako Miwili aliyotoa,
Maana unakuta mtu katumia kitu miezi kumi anakwambia nane ili kuipa bidhaa yake thamani.
 
Bei hii imenishangaza sana !! Sidhan kwamba kuna yard yeyote unawza kukuta gar hii inauzwa bei kubwa hivi na ishatumika miez mitano TZ?? U can't eat acake and still have it!!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom