elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
Weka # ya simu.
mileage 190,000km
price mil 9
Duh yaani Mapaka 7.5 mteja hajapatikana?
Haya jamani jipangeni Noah hiyo New Model bei ya kutupa
Halafu mbona kama umepiga picha kwa kuibia kama vile gari ni la mkwe wako.
Ongeza Picha muhim
Hahahah,
Unajua jingine linalofanya watu wasite ni namna ya picha yako,yaani umeipiga kiwizi sana.
Yaani Picha nusu,weka picha za nyuma mbele,ubavu na ndani hasa kwenye dashboard na back seats.
Halafu tuambie iliingia Tanzaniano lini?
Haya sasa picha mmeletewa na bei karibu na bure. Nunueni sasa.