No. Ya customer care TANESCO, temeke.Dar.

Royal Warrior

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
1,166
2,143
Salaam.


Naomba mwenye namba ya tanesco wilaya ya temeke ..wamekata umeme tangia jana usiku hadi saiv haujawashwa bila ya taarifa yoyote ile.

Natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom