itabidi atupe na kile kitalu cha st joseph tuwe tunazikia kwa style hii..ni kweli dhambi kubwa kutumia kondom maana unazini na ukiwa kwenye ndoa kondom ya nini??lakini je tuangalie pope anasema tujilinde na cnm na mh hapa anaitaji msaada wa pope nexty??tunagalie madhara ya kutumia na kutotumia maanan mh kilani labda nikueleze hii ni hali halisi wengi wanaoingia na condom kwenye kuzini wanaishia kurudi nazo majumban mwao na wengine huishia kukutwa na wake zao mfukoni ndipo ndoa inapoanza kuwa DOA