Wana JF heshima kwenu wote, nimekuwa nikifuatalia visa na mada mbalimbali humu kwa muda na kuvutiwa sana. Hivi kibongo bongo haiwezekani kuwa na partner wa opposite sex ambae hakuna relationship wala commitment yoyote isipokuwa ni company pamoja na sex for leisure tu. no financial obligation, no whereabouts, no wivu, no future....ni kupeana kampani ikiwemo sex pale mnapojisikia tu...naomba kupata maoni tafadhali
hii ni ngumu sana kwa wanawake. hii ndio conclusion niliyofikia. Kitu hakitolewi bure. Labda awe amelewa...
NAkubaliana naweWapo wengi sana - Mimi ma-ex wangu ndiyo tunavyoishi - japo wengine wameolewa!
mmmmmmmmhhhh Mwalimu una mambo!Wapo sana mkuu
Mtu B,malizia story basi.....Nishawahi kupata mmoja alikuwa bosi wangu, divorced, independent, financially stable. She called whenever she wanted it (I'm serious about her wanting 'it', not wanting 'me'). Siku nyingine alikuwa ananiita kwake odd hours of the night, nachukua taxi nakwenda, asubuhi narudi ghetto kwangu. Sikuwahi kunywa hata juice pale kwake, na hatukuwahi kwenda outing yoyote, nikaelewa mwenzangu shida yake ni naniliu tu, hataki 'strings attached'. Siku nilipoelewa tofauti ni pale aliponiambia nibaki naye ofisini jioni ana issue, nikadhani mwenzangu leo anataka kujaribu fantasy fulani ofisini kwake na mimi, nikaona itakuwa poa. Kumbe alichoniitia ni kuninanga mara 'unaendekeza mashangingi, hawatakusaidia kitu, blah blah blah' Nikamwuliza vipi mbona sikusomi? Akadai amesikia natoka na bosi mwenzie mwingine sijui nini nini (of course ni uongo sijui aliuokota wapi), lakini nikamshangaa imekuwaje tena si ulisema mwenyewe kuwa iwe 'no strings attached, sasa hii ndo nini? Ni ngumu hii kitu mazee!
Negro wake up sleeping for fun and no relationship? Even friends they have platonic relationship and they do not do the s** word...
Wapo wengi sana - Mimi ma-ex wangu ndiyo tunavyoishi - japo wengine wameolewa
Mkuu huoni unaiba wa wenzio sasa? Huyo ambaye kwa sasa mke wa mtu/mme wa mtu (X wako) naye unamwita partner? Nadhani mtowa mada alikuwa na maana ya kuwa watu hawako kwenye commitment nyingine kama nimemwelewa!
Mhhhh
Haya yangu macho