Sasa kama ukimpigia mnaongea fresh unalalamika nini?Maana mpaka wiki ipite hamjaongea ina maana ya kwamba mmechuniana na sio yeye pekee amekuchunia.
mapenzi ya aina hiyo,yanaudhi kwa kweli.wewe unataka huyo mtu,muwasiliane,specially kama ukimkumbuka,yeye hana habari na wewe kabisa.kwa nini mwaqnzo hakuwa hivyo?maana ni kama amekuzoesha.hizo ndio dalili za kupoungua kwa mapenzi yenu.na wewe jitahidi ukae kimya,kitakachotokea,kubali matokeo
ukimaanish sina changu, nazugwa mkuu!
Usiwe mjinga. huyo demu anataka muende next stage ya relationship lakini wewe Mr Nice guy, (utakuwa ni wale wanafiki wa kuripoti ibadani sana) uko kwenye comfortable zone ya kupigiana simu za ah sweetie missing you, " natapika hapa nilipo. Nadhani pia una simu yenye laini mbili.
Grow up before she meets a grown up man where she is!
Na wewe kaushia tu,uwe unampigia mara moja mojakm cjakupata fresh mkuu, yuko chuo Mbeya mkuu... By da way kwel m n mr. Nice guy, na 2nafahamia snc O Level, co kwmb najuana naye snce jana au juz, we started from u best frnd, then 2kafika hapa. So wats your point mwana