Yani ukiona una itiwa jambo kwa bidii ujue wewe ndio fursa , kwa nini tusisanuane humu machimbo ya pesa ila ndoa tusanuane?๐ฎ๐ฎTumeanza kupevuka sasa ndoa ni utapeli hata huko nje sahivi kinawalamba we matajiri wote hawa jeff bezos, bill gates na musk ndoa zinewalamba...๐
Majobess tusanuane michongo ya pesa bwashee, mambo ya kwenda kuongeza walaji wa hata hichi kiduchu ni akili mufilisi kabisa mkali๐Wanangu ehh we uki pata mke submissive oa tu, hata mahari waki niambia 5m akiwa fresh no dilution mbona safi.
Duh, kwahyo uchi pekee ndo ulikufanya ukaoa?Na ndio maana mnaishia tu kupanda mnazi na mkono mmoja vijana oeni acheni kupanda mnazi na mkono mmoja ndoa Ina raha yake vijana
fifty what? Hata 30 hapatihalafu umpatie fifty fifty huyo ati..
Ujambazi wa wazi wazi kabisa , no reform no marriage.Ndoa ni LBL...๐คฃ
tuombeane kheri, soon kaka. Narudia soon.Majobess tusanuane michongo ya pesa bwashee, mambo ya kwenda kuongeza walaji wa hata hichi kiduchu ni akili mufilisi kabisa mkali๐
Huyu ni wasiku nyingiUkikua utaacha...
Hahahaimbeni wimbo wa kasongo tu...๐
Ukilala kwa shida labda uwe umetaka tu mwenyewe mkuuNa kimvua hiki,Kataa ndoa mnalala Kwa shida Sana qmmk๐
Muhenga mwenye mawazo ya GZ ๐Huyu ni wasiku nyingi
Haya ni mawazo bora mno sheria za ndoa zimekaa kijinga mno , watu tunaongea kwa mifano yetu ambayo ni hai kabisa.Muhenga mwenye mawazo ya GZ ๐
Ukute huna mali yoyote ile unayomiliki zaidi ya hizo kengele mbiliSisi kama vijana wa #Kataandoa tumekuja na "No reform no marriage!".
kwasababu mmekuwa mkitusema vibaya nakuona kama hatuna maadili,hivyo basi kama kuna mambo hayatawekwa sawa sawia basi hatutaingia kabisa kwenye mtego unaoitwa ndoa!.
bila hivi vitu kufanyiwa marekebisho basi hakuna ndoa!.
#Kugawana mali na mke hata zile ambazo nilizitafuta kabla sijakutana nae!.
Hichi kipengele kikirekebishwa itakuwa ahueni!.
#Ifutwe hamsini kwa hamsini!.
Kwa nature ilivyo hairuhusu mwanaume na mwanamke kuwa na haki sawa!, hii hamsini kwa hamsini ni kandamizi kwa kiumbe kinachoitwa mwanaume!.
#Kama hamuwezi kubadilisha hiyo hamsini kwa hamsini basi na wanawake nao kwa kipimo kilekile tunachopimiwa nao wapimiwe iwe ni kazi ama shughuli yoyote. Tuone kinavyowalamba!.
#Swala la malezi ya mtoto mwanaume kama anatoa 50% na mwanamke atoe 50%.. maswala yakupelekana ustawi wa jamii halafu me pekee ndo anazama mfukoni tutakuja kutoana meno!.
#Mahari ifutwe!.
Hii ni sawa na biashara tu!, sasa mtu nimtolee mahali halafu nije nimpe fifty fifty, bima ya afya, nihakikishe kila siku anakula na huduma zake zote nyengine ziniangalie we ulisikia wapi..??
Kama hayo hayawezekani nasisi hatuwezekani hata kwa kuturoga!, yani mkilamba kushoto sisi tunalamba kulia mwendo ni #kataandoa na #noreformnomarriage!.
WApi huyoo ni hajapata tu wakuridhika naye anahasura maana hajampataMuhenga mwenye mawazo ya GZ ๐