No reform no election imeshafanikiwa👍

No reform no election imeshafanikiwa👍

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,280
Reaction score
13,926
Lengo la No reform no election sio watu wachukuwa mawe na kupiga polisi. Lengo kubwa ni kuleta mabadiliko ya sheria za uchaguzi.

Kama watalazimisha ni kukakikisha kwa Watanzania wengi wasishiriki uchaguzi na kufanya zoezi zina hata kama ni la kulazimisha lionekana mbele ya watanzania ni batili.

Kwa kiasi kikubwa elimu sasa imefika kwa wengi bila mabadiliko hata vyama hivi ambayo vinapigia mahesabu ruzuku na vingine vinapewa pesa moja kwa moja na CCM Watanzania wengi hawana imani navyo.
Elimu ya no reform imefaniliwa kwa kiasi kikubwa sana ukizingatia huu ni mwezi wa sita. Ukiacha CCM nchi ndiyo imerudi nyuma sana mwaka huu. Tanzania inaenda kwa aibu kubwa Dunia nzima
 
Kuna mtoto wa Mchengerwa anaunga mkono kampeni ya No reforms no election
 
Lengo la No reform no election sio watu wachukuwa mawe na kupiga polisi. Lengo kubwa ni kuleta mabadiliko ya sheria za uchaguzi.

Kama watalazimisha ni kukakikisha kwa Watanzania wengi wasishiriki uchaguzi na kufanya zoezi zina hata kama ni la kulazimisha lionekana mbele ya watanzania ni batili.

Kwa kiasi kikubwa elimu sasa imefika kwa wengi bila mabadiliko hata vyama hivi ambayo vinapigia mahesabu ruzuku na vingine vinapewa pesa moja kwa moja na CCM Watanzania wengi hawana imani navyo.
Elimu ya no reform imefaniliwa kwa kiasi kikubwa sana ukizingatia huu ni mwezi wa sita. Ukiacha CCM nchi ndiyo imerudi nyuma sana mwaka huu. Tanzania inaenda kwa aibu kubwa Dunia nzima
NO REFORMS NO ELECTION ndio jambo ambalo wananchi walilitaka toka zamani na Limeleta mafanikio makubwa.
 
CCM wanadhani bado watu wapo 1970 .

Enzi za mtu kuwa na runinga anaonekana tajiri.
 
Back
Top Bottom