No reform no election imeiathili chadema kwenye daftari la wapiga kura tayari.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
Kwenye vituo vya kujiandikisha wapiga kura chadema sio wengi, wanasema hawana uhakakika kama chama chao kitashiriki uchaguzi maana hakuna reform yoyote wanaiona ikifanywa na serikali.

Wajumbe wa CCM wako pembeni kwenye vituo vya kujiandikisha sijui wanafanya nini humo. Wanachukua namba ya simu na kitambulisho cha kupigia kura na kuinakiri kwenye forms za CCM, sikujua inamaanisha nn ingawa mm niligoma kutoa ushirikiano kidogo.

No reform no election itawaumiza chadema kuliko kuwasaidia.
 
Kqenye daftari la mpiga kuwa kuna sehem watu wanajaza chama? Unajuaje huyu ni wa huku na huyu sie?
 
Kwenye vituo vya kujiandikisha wapiga kura chadema sio wengi, wanasema hawana uhakakika kama chama chao kitashiriki uchaguzi maana hakuna reform yoyote wanaiona ikifanywa na serikali.

Wajumbe wa CCM wako pembeni kwenye vituo vya kujiandikisha sijui wanafanya nini humo. Wanachukua namba ya simu na kitambulisho cha kupigia kura na kuinakiri kwenye forms za CCM, sikujua inamaanisha nn ingawa mm niligoma kutoa ushirikiano kidogo.

No reform no election itawaumiza chadema kuliko kuwasaidia.

View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1905533127583490244?t=GiRvTUd9SUyT_wXJOLa4mA&s=19
 
Kwenye vituo vya kujiandikisha wapiga kura chadema sio wengi, wanasema hawana uhakakika kama chama chao kitashiriki uchaguzi maana hakuna reform yoyote wanaiona ikifanywa na serikali.

Wajumbe wa CCM wako pembeni kwenye vituo vya kujiandikisha sijui wanafanya nini humo. Wanachukua namba ya simu na kitambulisho cha kupigia kura na kuinakiri kwenye forms za CCM, sikujua inamaanisha nn ingawa mm niligoma kutoa ushirikiano kidogo.

No reform no election itawaumiza chadema kuliko kuwasaidia.
chadema sasa hawatakuwepo kwenye uchaguzi 2025. ni nafasi ya kujimwaya kwa ccm ushindi wa 100% hakika mama anaupiga mwingi sana, ndo mana tukampa PhD japo hajawahi hata kuandika proposal.
Huyu LISU kumbe mchochezi na HAINI? Baasi atakiona cha mtema kuni huyu mpaka akome na wanaomuunga mkono
 
Back
Top Bottom