NO PLAN B for Barcelona???

NO PLAN B for Barcelona???

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,377
images


Lionel Messi
 
Leo alikuwa sijui wapi au alikuwa nje maana leo na week iliyopita hakuonekana kabisaaa
 
Wameanza kuwapatia,nafikiri ni wakati muafaka wa wao sasa kuangalia uwezekano wa Plan B ile soka ya utamaduni wao wa kupiga pass na chenga mpaka Kipa nafikiri it will no longer work for long,wameanza kupokea vipigo na kuna alili vipigo vikaendelea sana kama hawatabadilika
 
Kama unategemea panga a.k.a machete halafu plan b iliyopo ni gongo au fimbo,busara ni kuboresha matumizi yako ya panga na sio kukumbilia gongo!ndivyo barca wanavyopaswa kufanya
 
kwa sababu wanaonekana wakizithibitiwa tu basi hawawezi kugeuza mchezo! Like other coaches do with substitutions.
 
hii Barca ni kama haina kocha sasa hivi sijui anafundisha Puyol au nani wajameni?
 
pep alinusa the down fall akasepa,huyu kapewa siku mbili kapata kansa
 
Hivi timu ni kocha au Wachezaji??
 
Timu = kocha + wachezaji + viongozi!
Ndo maana kocha hulipwa mshahara ingawa yeye hachezi!

"Victory is won not in miles but in inches. Win alittle now, hold your ground, and later, win a little more"
 
Back
Top Bottom