father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 982
- 1,128
wamefanana lakini siyo hoja,nina mshikaji kafanana na tupac kila kitu na ni mzaramo wa magomeni
kaka kuhusu huyo dogo hta usijisumbue kufikilia anaundugu na diamond isipokuwa anafanana tu na hta clip aliyorecodiwa akisema eti yeye n ndugu wa diamond haikuwa real..diamond alimtafuta mwenyewe akakili kuwa video hiyo jamaa wa bongo 5 alimtafuta akamwomba amrecodi akisema hivyo na wala hakujua lengo la jamaa aliekuwa akirecod kumbe rengo lilikuwa wapost kwa blog yao story ipate vitors wengi..ni hayo tu
Watu wengine bwana,,,wewe ndo msemaji wa Diamond?? acha story zako za kutunga...kaka kuhusu huyo
dogo hta usijisumbue kufikilia anaundugu na diamond isipokuwa anafanana
tu na hta clip aliyorecodiwa akisema eti yeye n ndugu wa diamond haikuwa
real..diamond alimtafuta mwenyewe akakili kuwa video hiyo jamaa wa
bongo 5 alimtafuta akamwomba amrecodi akisema hivyo na wala hakujua
lengo la jamaa aliekuwa akirecod kumbe rengo lilikuwa wapost kwa blog
yao story ipate vitors wengi..ni hayo tu
wamefanana lakini siyo hoja,nina mshikaji kafanana na tupac kila kitu na ni mzaramo wa magomeni
Watu wengine bwana,,,wewe ndo msemaji wa Diamond?? acha story zako za kutunga...