Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 566
Ninani anayejali ? Ninani na atakayesimamia tunda LA Amani ??
Yuko wapi MTU huyo hata Mungu aliye hai atusikie???
Nauliza Ndugu zangu Watazania !!
Nasimama kutoa maoni yangu
sawa sawa Na ibara18 ya katiba
inayonipa haki ya kuwa Na Maoni Na kueleza fikra zangu !
Sasa Naanza___________
Zanzbar Inahitaji Maombi !
Lakini inahitaji Ukweli zaidi !!
Ninani anayejali ???????
Kuna watu wanapotosha kuhusu Uchaguzi wa Zanzibar wakidai ni wa marudio !
Ukweli ni kwamba ni Uchaguzi mpya unohitaji
Kuanza Upya Na wagombea waombe upya!!
:Ni nani atakaye simama ??
Sifa za Uchaguzi wa Marudio kwa mujibu wa sheria duniani kote:
Kwanza :
Uchaguzi wa marudio
ni
ule ulioharibika kwenye
baadhi
ya maeneo ,Na hurudia maeneo husika .
Pili :
Uchaguzi wa Marudio ni ule ambao unaoongozwa
Na Sheria inayomtaka mshindi
kupata zaidi ya nusu ya kura zaidi zilizopigwa ,
Nina ni anayejali ??
Sifa za Uchaguzi uliofutwa :
1:Uchaguzi uliofutwa ni zaidi ya kuharibika''
2:Ni kama hakuna kilichokuwa kinafanyika
3heria zilikiukwa
kuanzia Uteuzi wa wagombea ,,,'
4:Wapiga kura walio wengi
hawakuwa Na sifa za kupiga kura
5:Upigaji kura haukukamilika katika maeneo yaliyo
Mengi !
6:Ni vigumu kuyatambua Na kuhakiki
matokeo yaliyotoka vituoni. Nk
Kutokana Na hali halisi Na Maelezo yaliyotolewa
:Zanzibar sivyo ilivyokuwa!
Ninani;Anayejali ??
Unajiuliza pia wapigakura ni walewale'
kituo hichohicho,wasimamizi.
Na
mawakala ni hao hao !! Muda
wa kupiga Na kuhesabu kura ni huo huo !!
Chumba hicho hicho ,!
Inakuwaje kura za Muungano ziwe halali Na za Zanzbar zifutwe ??
Ama kweli asiyejua Maana
haambiwi Maana !!!!!!
Ni nani atakayesimamia tunda amani ??
----------------------
Kwa hiyo:Ni kitu cha kuanza Upya kila hatua ikiwemo uteuzi wa wagombea
Kwa Maoni yangu :
___/////__//////////////
Hii Tabia ya kurudia Mtihani
darasa zima, Kisa Mtoto wa
mwaalimu kafeli !!
Ikiendekezwa itatupeleka Tanzania pabaya !
Mwana wa Adili :
Kiwaryalema