Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,289
That is obsession
Mimi situmii hizo graphs wala hizo apps, ila najua dada yangu baada ya kujifungua ili kuondoa baby fat alikuwa akitumia.
Napima daily kwa sababu nna weighing scale kwenye dressing room yangu. Kwa hiyo ni mazowea. Though ni miaka 3 sasa sijaongezeka wala kupungua hata robo kilo, na sifanyi chochote kinachoweza kuchukuliwa kuwa ni "dieting"