No indictment in NYPD chokehold death


kaka nakuelewa ila mimi naijua bunduki,huwezi ku_fire kwa raia ambaye hajatishia uhai wako au wa wengine,na km mwizi hana silaha basi mpge risasi ya mguu,madogo wamepnda sana lakn kutoa uhai ni kesi nyingne,uhai hauna matibabu,sio mali kuwa itatafutwa tena
 
Stunna na nyani asante kwa majibizano yenu,nimecheka sana,lakini nimeona tofauti,kila mtu kasimamia anachokiamini bila matusi,ingekuwa sie mbona ban tayari
 
Hata mimi Ngabu na Stunna wamenichekesha sana.......especially Nyani!:becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…