No human is illegal on stolen land

No human is illegal on stolen land

TauHeeeD

Senior Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
191
Reaction score
134
Athari za maandamano huja na uchafu wa kila aina za kuibua hisia za fujo, leo hii LA inaibuka kauli hii, hayajawahi kuwa maandamano ni mwarubaini wa tatuzi lolote, zaidi ya kuchochea uwizi, ubadhilifu, kudhorotesha miundombinu, kuatarisha usalama, kukwamisha harakati za wasakatonge, kuwapa mwanya wanye chuki na visasi kuyafanya yao. Anatokea mtu anakata mti tena sio mti mmoja.
IMG_3668.jpeg
IMG_3665.jpeg
IMG_3666.jpeg
IMG_3664.jpeg
 

Attachments

  • IMG_3661.jpeg
    IMG_3661.jpeg
    1.1 MB · Views: 12
Liberals na itikadi kali (kutokana na hilo jina lako uchwara) ni kundi moja msiokuwa na akili.

Asili yenu ni vurugu, ushoga na uhamiaji holela unaoeleta uharifu na uharibifu.
 
Back
Top Bottom