Sister ashadii asante kwa mchango, nachoogopa ni kuwa dada yake au ndugu zake wakijua mapema wakati nipo kwenye aproaching stage kumpata itakuwa ngumu, as her sister na bro ilikuwa si mchezo kuachana kwao dada alitaka kumeza sumu, we fikiria alitumiwa gar na bro walipoachana alikuja kulibwaga home na makorokoro yote aliyabwaga getini, na alijua dada yangu ndo chanzo, we stay in the same area but sio karibu kivile, so sister yake alimpigia simu dada yangu akimtishia kumuua na dada akaenda police yaan ni mambo mengi sana yalitokea, so nina uhakika huyu binti hajui vizur as amespend boarding mda mwingi but anajua dada yake alipatwa na balaa na sipati picha akijua mimi natoka humo
Trust me she knows every little detail..remember shes her sister kuwa boarding hakuzuii yeye kujua kinachoendelea home. be crystal and clear either she takes you or she toss you, na kwa izo issue zilizotokea lazima upate kigugumizi kama sio ububu
Sister nimekupata but nachohitaji sasa ni to win her heart before her sister start to interfr, I want to get her yes before her sister knows, sisi matatizo yaliyopo sio ya familia as even her sister anaongea na mama tu as mama alikuwa upande wake mpaka mwisho, na hata alivyorudisha vitu alivyopewa na bro baada ya kuachana mama alimpigia magoti kumuomba avibebe na kwa heshima that girl did, and she loves my mother a lot, tatizo kwetu sisi wadogo hatupendi as anaamini ndo source ya matatizo sio wazaz, help me to win her heart kimawazo
Sasa sister unanishauri vipi? Ijumaa nataka nikamchomoe hostel indirect bila yeye kujua nikaanze first date kwa umakini wa hali ya juu, wasi wasi wangu hizo sera must be unique as per this situation, nipo point za weakness zenu hata kama kuna ugomvi
hapo hakuna tatizo
msichana ukimkoleza hata uwe ulimtukana baba yake utasamehewa
wewe anza kumkoleza taratiibu
Funguka sister maana mdogo wako nimeshikwa kila nikipanga sera nahisi a big NO is coming, mpaka nimewaza nimtafute dada yake kwanza but nafsi inasita, nipe weakness zenu niguse wapi ninapoanza sera
Unataka kutuambia utaduu nae baada ya harusi? Mbona unaguarantee ndoa ivo? Je ukikuta amekeketwa? Kule chini kunatema utamwoa tu ivo ivo?
mweeeeeeeeeeeeeeeee! mabinti zetu sijui tuwafiche wapi?anza ku datenae kwa kumuita
aje ulipo kama ni bar au cinema
unaanza out nae taratibu
jifanye na wewe humjui dada yake
siku ikijulikana jifanye hukujua na huoni why usimuoe kwa ajili hiyo
Wewe si umeambiwa ni kwa wanamume tu! Mbona wanawake wa siku hizi mnapenda kurukia mambo?
Na wewe muanzisha mada, hili sio jambo la kutuita wanaume. Ni jambo la kujadili na wavulana wenzako na vidada visivyo na kazi maalum. Mi nilijua kuna ishu ya kiume kweli, kumbe ni balehe zinasumbua watoto
Heshima kwenu brothers and poleni na majukumu,
Nahitaji kushare mawazo na wenzangu naomba wapondaji wakae kimya is only ushauri needed,
Mi ni kijana wa 25 yrs graduate and working somewhere in town, kuna msichana around 21yrs I have interest on her but nakosa kwa kuanzia kutokana na scenario behind us, huyo binti yupo chuo first year now hapa dar, nakosa pa kuanzia kwa sababu my brother alikuwa anadate na dada yake na alimkuja kumtosa vibaya na kuoa mwingine na hii alileta kama chuki kwa familia yetu lakini ukweli ye ndo sababu as alikuwa anacheat wakati bro yupo nje kimasomo na anahisi si ndo tulisababisha asiolewe, sasa huyu binti hajui kama mimi ni mdogo wa X aliyemfanya dada yake atake kujiua those days,
Na mimi naamini sina nia mbaya na binti hiyo if God wishes tujenge nae familia, nashindwa nimset vp atleast for a date as sitaki dada yake ajue hadi mambo yatapochanganya, I think ninavyo vigezo vya college ladies vya kijinga as a car, a job, etc but nakosa point as her sister hanipendi, huyo binti nimekutana nae juzi nikafanikiwa kupata namba sasa next step ndo issue as dada yake akijua ni balaa
Wadau tupeane tips nitoke vipi
Unataka kutuambia utaduu nae baada ya harusi? Mbona unaguarantee ndoa ivo? Je ukikuta amekeketwa? Kule chini kunatema utamwoa tu ivo ivo?