No Doctors in JF, Mnakatisha watu Tamaa tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No Doctors in JF, Mnakatisha watu Tamaa tu

Discussion in 'JF Doctor' started by Chimps, Oct 8, 2012.

 1. Chimps

  Chimps JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 571
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 80
  Hi JF,

  Please refers to this post
  https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/331545-ugonjwa-huu-ni-kitu-gani.html

  Watu wengi wali-comment mambo yasiyo eleweka na ya kukatisha tamaa.
  Hakuna aliyeweza kutoa solution kwa tatizo hilo.

  After several search, kumbe tatizo ni reaction ya daya zenye mchanganyiko wa sulfa.
  it is in the group of "Fixed drug eruptions" caused by sulphamethoxazole.
  Hii ni alegi ya sulpha.

  The guy has been affected with this after taking MALAFIN for treating Maleria.
  Then akapata alegi ya sulfa ambayo iko kwenye Malafin
  He is now fine after taking medication for alegi.

  My Take: Ogopa Malafin, Zinaleta matatizo kwenye Du-sherere. Kama una mke anaweza dhani umekenyaga mambo ya kanga moko, kumbe ni alegi ya sulfa  Cheers

  Sokwe a.ka Chimps,
  Karibu Kigoma
   
 2. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Sijawahi soma nikakuta allergic reaction inayotokea kwenye penis tu, hii si kweli. This is typical feature of SYPHILIS, kwa hiyo kama ulijitibu kama allergy imekula kwako.
  Sifa za syphilis ni kuwa mara nyingi hutokea ulcer au kidonda ambacho mara nyingi hakiumi lakini cha weza kuuma pia, na hiki kidonda chaweza pona bila kutibiwa hii inaitwa primary stage, ambapo baadaye utakuja secondary stage na hadi tertiary stage if untreated. Kwa hiyo nenda hospital ukatibiwe hii ni syphilis na hiyo picha nimeiona.
  Nakataa allergy coz kama ni hiyo ingetokea mwili mzima na huambatana na kuwasha na pengine malengelenge kama umeungua moto.
  Ndugu nenda hospital hii ni typical syphilis ambayo inaelekea kwenye secondary stage.
  Kama vp nipm nitakwambia tiba.
  Dr Mupirocin
   
 3. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Yaani, mkuu Chimps sijakuelewa

  1. Unataka mtu tu akwambie ugonjwa wako ni fulani( Provisonal Diagnosis) bila kujua undani wa tatizo wala kukupima? Unajua kuna magonjwa yanoyoweza kufanana na lile ulilofikiria kama daktari(Differential Diagnosis)??

  2. Una UHAKIKA kuwa reaction ya dawa hutokea SPECIFIC katika uume?..Umeshajua ni watu wangapi. wenye kuwa na. "allergy" na. Sulfa/Sulphur na wakapata Allergic reaction katika sehemu za siri??!

  If not unaamaaniaha nini na thread yako mkuu?!
   
 4. Chimps

  Chimps JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 571
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 80

  Dr. Mupirocin,

  I think you need to update yourself on daily basis.
  Kufanya kazi kwa Mazoea kumepitwa na wakati,

  Just read this ppt ili ujiongezee maarifa
  Common Skin Disorders Of The Penis

  Keep more concentration on slide 56 to 60

  Chimps
   
 5. Chimps

  Chimps JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 571
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 80


  Jitahidi sana kutumia google kujielimisha kila siku kwa mambo mapya,
  soma hii hapa ikuongezee maarifa

  Common Skin Disorders Of The Penis

  Kufanya kazi kwa mazoea kumepitwa na wakati
   
 6. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hahaha mkuu Chimps, sijatambua proffesion yako hasa ni ipi(si kwa maana mbaya) ila nadhani you should know

  1. Diseases dont read books
  2. "Common disease" depends on. specific Locale/location as in AREA..

  Usijidanganye kusoma research or presentation zinazoongelea "commonicity of diseases za huko" ukadhani ndiyo za huku kwetu mkuu...though kuna diseases ambazo zipo kote kote(but not many)..

  BUT let's get back to the topic(thread) so huyo mgonjwa ndio alipata Reaction?!!

  Hata wagonjwa kabla ya kuja hospitali(tunapenda wasome kuongeza maarifa yao wenyewe) tunawashauri KUSOMA na SI KUSOMA SOMA!
   
 7. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,670
  Likes Received: 8,217
  Trophy Points: 280
  Heri mi simo..
  btw mwenyewe hakujieleza kama amekua akitumia medication za malaria recently na kwamba ni baada tu ya kuanza kuzitumia dawa hizo ndipo alipoanza kupata side effects hizo.

  BTW nlishawahi kuambiwa, jinsi unavyojieleza ndivyo jinsi utakavyotibiwa!!!
   
 8. Chimps

  Chimps JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 571
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 80

  Kumbe Mko wengi mnaofanya kazi kwa mazoea tu. Mimi sio DR. ila kwa uelewa wangu mdogo wa magonjwa, sikubaliani na wewe.
  How do you know the disease without reading the books, research and other publications??????
  Kumbe ndo maana kuna case nyingi wangonjwa wanapewa dawa kwa ugonjwa ambao sio. Wengine wanapasuliwa kichwa badala ya mguu. Yote hii ni uvivu wa kusoma
  KUSOMA na KUSOMA SOMA yote ni sawa, lengo ni "to be updated"

  Kama ugonjwa ni wa huku mbona dawa zinatengenezewa huko????? so talking on commonicity is inevitable.
   
 9. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mr Chimps,

  Fani ya uDr siyo simple hivyo.

  MaDr hawatibu kwa simu wala kwa posts. Actually, ni unethical ku-prescribe matibabu kwa mbali, bila kumwona mgonjwa. Lazima hatua hizi zifuatwe:

  History taking
  Physical examination
  Investigations including Xray and/or laboratory
  Then specific treatment (if possible)

  Kwa hiyo siyo ajabu kwa MaDr wa humu JF kugundua tatizo lako ambalo ulilieleza humu.

  Internet, including Google and Wikipedia, may be very misleading with respect to diseases and their management!!

  Hakuna Dr, narudia tena, Hakuna Dr atakaye solve ugonjwa kwa simu au posts za humu. Ukiona Dr anakwambia kuwa unaumwa ugonjwa fulani kwa njia ya simu au posts, huyo si qualified Dr.

  upende usipende, uDr ni tofauti sana na professions zingine
   
 10. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Na hiyo dawa ya malaria inaitwa hivyo ?? Mi oldi skull nilizoea kwinini, metakelfini, au ile ya kumeza ndani ya ugali then kuwashwa hadi ktk gololi, klorokwini..

   
 11. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  Acha ubishi, aibu ya kwenda kumwona daktari itakufanya ufe au utafanya mwenzio afe siku si zake.

  Hakuna daktari anayeweza kutoa proper diagnosis na prescription bila kumwona mgonjwa...pia kumbuka kuwa si kila unachogoogle ukiamini moja kwa moja, za kugoogle changanya na zako...
   
 12. Chimps

  Chimps JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 571
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 80


  Kuna Dr. mmoja anashangaa kuona side effect ya dawa inatokea kwenye kiungo kimoja cha mwili, especially kwenye penis,
  nafikiri fikra hii sio sawa.
  This is what was my concern
   
 13. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu Chimps either hujaelewa au hutaki kuelewa! Usipende kuongea vitu usivyovijua, na kama unavijua lete takwimu na uthibitisho TU, utaeleweka lakini si kwa kubeza au namna zinazofanana na hiyo.

  Suala hapa tunaloongelea hapa ni kwamba kulingana na thread uliyoianzisha mwenyewe. kusema kuwa tatizo lile katika thread ya "Ugonjwa huu ni kitu gani" kuwa ni Reaction ya dawa! SASA nijibu yafuatayo;

  1.Mechanism gani inafanya Sulfa/Sulphur kufanya reaction katika Uume TU?!!

  2. Je, unajua uwiano wa makadirio wa watu wenye reaction na Sulfa contain drugs katika General population?

  3. Je, Unadhani ni watu wangapi kati ya hao wenye kuwa na "reaction katika sehemu zao za siri pekee"?

  4. Kwa Uzoefu(experience kama mwananchi wa kawaida) umekutana nao wangapi?

  5. Ulisema ni allergic reaction ya dawa, Je unaweza kutupatia cardinal features za allergy?  Nijibu maswali hayo hapo juu kisha tuendelee lakini pia

  Nilikukumbusha "Disease dont read books" and not "Doctors cant know diseases by reading books" jifunze kusoma between the lines...Nilisema kauli ya kwanza na wewe umetafsiri kama kauli hiyo ya pili!


  na kuna tofauti kati ya KUSOMA na KUSOMA SOMA..the later being kusoma bila mpango/ovyo ovyo.
   
 14. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Well said mkuu. Mawenzi.
   
 15. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Uliambiwa hapa JF, ni kituo cha Afya, Zahanati au Hospitali?!
  Acha mambo ya ubwete, nenda kalipie gharama stahili utibiwe kwa usahihi sehemu husika...
   
 16. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu ipo hiyo kitu remember viserous membrane,mocus membranes are more affected to allergic of sulfa.
   
 17. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  karibu kwenye chama chetu cha siasa, kila mganga wa kienyeji ni mwanachama wake.
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hapa tu jf is never boring sosi TB
   
 19. Tinabo Jnr.

  Tinabo Jnr. Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Chimps, unachekesha sana! Kwanza wewe siyo daktari, pili unakubari bila shuruti kuwa una uelewa mdogo ktk fani ya udaktari, tatu ukubaliani na yeye (daktari)! Inashangaza Mkuu Chimps, think about it!

   
 20. Chimps

  Chimps JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 571
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 80


  noted mkuu
   
Loading...