Poa asante sana watalaam. Mafundi wazuri wachache ndio maana tunaanzia humu kupata ushauri.Jaribu kwanza kununua lens cleaner disc, usafishe huyo, ikigoma ujue Lens imekufa, badili jicho
Dealer wa Sony yuko wapi DSM ?Peleka kwa dealer wa sony, andaa laki 2.
Hallo Jay kwenye cottin buds uliweka kitu yaani spirit au ulitumia hivi hivi kavu ?Hata mm nipipata tatizo kama hilo ila niliifungua na kusafisha jicho la lensi na cotton buds(pamba za kusafisha sikio) ikakubali