mzee hiyo ni nahau. ubinadamu kazi, maana yake ni kuwa, watu wengi hawana ubinadamu na ili uwe na ubinadamu yakupasa kujitolea, watu wengi wameshindwa kuwa na ubinadamu kwasababu inahitaji sacrifice. ni kazi sana mtu kuwa na ubinadamu, hai uwe na moyo wa upendo, kuwapenda wengine, kujitolea kwaajili ya wengine etc.