No comment

For sure No Comment! Naskia hakuna mgao siku hizi ILA Kuna kukatika tu kwa umeme kwa Massa 18 plus
 
Yani wameniudhi hapa kwangu umekatika ghafla wakati nawatch program ya maana sana. Watamwombea sana
 
sijafamu hapa - nini lengo la viongozi wa dini kukutana na waziri wa nishati. Ingekuwa waziri mkuu au waziri wa mambo ya ndani au elimu / afya / ustawi wa jamii kuna muelekeo - hata hivyo ni kitu kizuri kuona viongozi wote wa dini wakiwa pamoja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…