ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Dec 7, 2012 #2 pyuuuuuuuuuuuuuuu... kimya still no comment
Zogwale JF-Expert Member Jul 10, 2008 15,287 10,842 Dec 7, 2012 #4 Yaani watoto wanakuzwa kwa uzoefu wa kufa mtu!! Hawaiogopi bunduki. Wakikua wataacha kuchoma nyumba za ibada kweli au kujilipua mhanga!!? Yapite mbali haya!!
Yaani watoto wanakuzwa kwa uzoefu wa kufa mtu!! Hawaiogopi bunduki. Wakikua wataacha kuchoma nyumba za ibada kweli au kujilipua mhanga!!? Yapite mbali haya!!
Donnie Charlie JF-Expert Member Sep 16, 2009 15,167 16,257 Dec 7, 2012 #5 kwani comments ndio zilikupigisha BAN?
HIMARS JF-Expert Member Jan 23, 2012 69,373 94,568 Dec 7, 2012 #6 wakitoka hapo hata hawaogopi kuhuhsu vita I call it destruction
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Dec 7, 2012 #7 Hii hutokea Afrika na labda Asia tuu. Silaha zinatoka Amerika na Ulaya.