Jaman nisaidieni hapa, nataka niweke os nyngine kwenye laptop rakini haina mlango wa cd na nikiiwasha kwenye boot mode hakuna boot from usb or flash. Je tawezaje kuweka window nyngne?

Yah sio safe kwa sababu unachofanya wewe ni ku-upgrade window na sio clean installaton, huwezi fanya HDD formatting wala HDD partition.na kama computer yako ina virus wataendelea kuwepo.