BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,840
- 7,861
Hiyo sheria ya kuviziana baada ya kesi kuisha ilishafutwa!Nolle ikisemwa hakuna kupinga.
Maana aliyekushtaki ndio kaondoa mashtaka.
Ndio maana unaweza kufutiwa kesi . Askari Magereza wakakuachia. Alaf ukatoka nje ya mahakama, na Polisi wakakukamata wakakupeleka mahabusu zao na kukufungulia kesi nyingne.
Haya mashtaka sio ombi lako. Ni ww ni mshtakiwa.
Pale hakuna uhaini. Yake yalikuwa mambo ya uchaguzi hakuna aliyepanga kupindua serikali. Uasi sio mchezo kama tunavyodhani. Hapo Mange labda uchochezi.Hii tume ya Pili ikija na orodha ya watu waliohamasisha vurugu za Mo29 na jina lake likawepo.
DPP anafungua kesi na kuwasilisha ushahidi wa maandishi na Video kadhaa. Na mahakama ikamtia hatiani .
Akatangazwa ana kesi ya Uhaini.
sheria za Makosa ya Kimtandao zinasema hata kama umefanya ukiwa nje ya nchi. Kama madhara yametokea TZ. Basi una kesi ya Kujibu.
Ni kweli. Serikali itakwepa aibu kwa nol. pros!Kwa kesi hii, ili kuepuka aibu na fedheha ya no case to answer, DPP, atashuka na nolle, https://www.jamiiforums.com/threads...interest-kuendelea-na-kesi-ya-uhaini.2352566/
P
Sheria ya wapi hiyo. Hayo mambo labda Uganda. Mkishafika kwenye proceedings mambo ya kukamatana hayapo. Mnakamatana mapema kabla proceedings hazijaanza.Nolle ikisemwa hakuna kupinga.
Maana aliyekushtaki ndio kaondoa mashtaka.
Ndio maana unaweza kufutiwa kesi . Askari Magereza wakakuachia. Alaf ukatoka nje ya mahakama, na Polisi wakakukamata wakakupeleka mahabusu zao na kukufungulia kesi nyingne.
Haya mashtaka sio ombi lako. Ni ww ni mshtakiwa.
Hiyo kesi nyingine wanayofungua ni ipi? Maana uchochezi tayari ipo kisutu wameikimbia.Ni kweli. Serikali itakwepa aibu kwa nol. pros!
Ila wanaweza wakafungua kesi nyingine lakini hata hiyo wakifungua haitofika mbali!
Ipo! Kwa Tanzania hii wanaweza kumsubiria akitoka tu mahakamani au magereza wanamrejesha ndani kwa bambiko lingine!Hiyo sheria ya kuviziana baada ya kesi kuisha ilishafutwa!
Kwa kosa Gani?. Humkamati tu mtu. Maana kama uchochezi tayari kesi ipo mahakamani kisutu na alipewa dhamana. Ukamataji unafanyika pale ambapo mnaondoa charge ya zamani na kuanzisha charge mpya kabla proceedings hazijaanza. Ukishaweka nolle Ina maana umekubali yaishe kwenye uhaini.Ipo! Kwa Tanzania hii wanaweza kumsubiria akitoka tu mahakamani au magereza wanamrejesha ndani kwa bambiko lingine!
Wale wajinga wanaweza kumfungulia hata ya kutokupiga kura!Hiyo kesi nyingine wanayofungua ni ipi? Maana uchochezi tayari ipo kisutu wameikimbia.
Usiamini sana kusanyiko la wajinga!Kwa kosa Gani?. Humkamati tu mtu. Maana kama uchochezi tayari kesi ipo mahakamani kisutu na alipewa dhamana. Ukamataji unafanyika pale ambapo mnaondoa charge ya zamani na kuanzisha charge mpya kabla proceedings hazijaanza. Ukishaweka nolle Ina maana umekubali yaishe kwenye uhaini.
Sheria ya wapi hiyo. Hayo mambo labda Uganda. Mkishafika kwenye proceedings mambo ya kukamatana hayapo. Mnakamatana mapema kabla proceedings hazijaanza.
Kwa ile kesi ilivyo na ushahidi ulipokomea na ukizingatia mtuhumiwa ni TAL; bado unapata mashaka?Eeh hii "no case to answer" ni hatua ngumu sana kweli, mara nyingi huwa ni gamble ya utetezi lakini ikifanya kazi ni ushindi mkubwa sana mahakamani. no cap
Nolle ni kudrop charges.Kwa kosa Gani?. Humkamati tu mtu. Maana kama uchochezi tayari kesi ipo mahakamani kisutu na alipewa dhamana. Ukamataji unafanyika pale ambapo mnaondoa charge ya zamani na kuanzisha charge mpya kabla proceedings hazijaanza. Ukishaweka nolle Ina maana umekubali yaishe kwenye uhaini.