Hujawahi sikia kuwa aliyefumania ndie kapigwa, usijiaminishe.Makofi yatamuhusu huyo
[emoji15] [emoji15] duuuh sijawahi sikiaHujawahi sikia kuwa aliyefumania ndie kapigwa, usijiaminishe.
Una maana gani???Mbona anamtoa kipara hapo
Aiseee utulipe maana umetudanganyaHa ha ha, kuna teja alimkaba mtu ili amwibie, bahati tu teja akasinzia kabla ya kuchukua hela.
Ilibidi aliyekabwa ajitoe taratibu na kumwacha teja amesinzia pale pale.
Aiseee utulipe maana umetudanganya
ngoja nikwambie teja hakabi nguvu za kukaba hana mateja wanakuja tag na silaha za jadi tena wengi mmoja mmoja wanachomoa simu au pochi kwenye daladala
Teh teh..Huyo atakuwa kitale..Mvuta bangi mwenzioHa ha ha, kuna teja alimkaba mtu ili amwibie, bahati tu teja akasinzia kabla ya kuchukua hela.
Ilibidi aliyekabwa ajitoe taratibu na kumwacha teja amesinzia pale pale.
Teh teh..Huyo atakuwa kitale..Mvuta bangi mwenzio