M Masi Lambo JF-Expert Member Joined Apr 8, 2020 Posts 532 Reaction score 361 May 25, 2020 Thread starter #2
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,436 May 25, 2020 #3 Wachina wabaguzi sana
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,436 May 25, 2020 #4 Wachina wabaguzi sana
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,804 May 25, 2020 #5 Ni rangi nyeusi ndio inabaguliwa sana duniani, hata wahindi wenyewe kwa wenyewe wale wenye rangi nyeusi wanawabagua ingawa ni wahindi...
Ni rangi nyeusi ndio inabaguliwa sana duniani, hata wahindi wenyewe kwa wenyewe wale wenye rangi nyeusi wanawabagua ingawa ni wahindi...
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,938 May 25, 2020 #6 Tunaosoma huko kazi tunayo
Bia yetu JF-Expert Member Joined Apr 14, 2020 Posts 6,921 Reaction score 8,321 May 25, 2020 #7 Yani bora sisi waafrica, ila hawa wahindi weusi ni watu wanaonyanyasika sana duniani Kwanza wananyanyaswa na wahindi wenzao ndani ya Nchi yao barafuyamoto said: Ni rangi nyeusi ndio inabaguliwa sana duniani, hata wahindi wenyewe kwa wenyewe wale wenye rangi nyeusi wanawabagua ingawa ni wahindi... Click to expand...
Yani bora sisi waafrica, ila hawa wahindi weusi ni watu wanaonyanyasika sana duniani Kwanza wananyanyaswa na wahindi wenzao ndani ya Nchi yao barafuyamoto said: Ni rangi nyeusi ndio inabaguliwa sana duniani, hata wahindi wenyewe kwa wenyewe wale wenye rangi nyeusi wanawabagua ingawa ni wahindi... Click to expand...
Tuna JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 1,823 Reaction score 2,475 May 26, 2020 #8 Sasa Restaurant ya wachina we Mtu mweusi unatafuta nini?Mkilishwa Popo mtamlalamikia nani?Tafuteni migahawa ya watu weusi Wenzenu.
Sasa Restaurant ya wachina we Mtu mweusi unatafuta nini?Mkilishwa Popo mtamlalamikia nani?Tafuteni migahawa ya watu weusi Wenzenu.
Kigonash Senior Member Joined Mar 20, 2020 Posts 113 Reaction score 106 May 26, 2020 #9 Black man ni mwana wa mungu huwakilisha identity ya mungu duniani ndo maana hapendwi
M Masi Lambo JF-Expert Member Joined Apr 8, 2020 Posts 532 Reaction score 361 May 26, 2020 Thread starter #10 Tuna said: Sasa Restaurant ya wachina we Mtu mweusi unatafuta nini?Mkilishwa Popo mtamlalamikia nani?Tafuteni migahawa ya watu weusi Wenzenu. Click to expand... Kweli, ndiyo iliyobaki, lakini haitoshi kutupa haki zetu za uananchi, kwani wewe ni foreigner nchini kwako ndani ya mgahawa wa kichina?
Tuna said: Sasa Restaurant ya wachina we Mtu mweusi unatafuta nini?Mkilishwa Popo mtamlalamikia nani?Tafuteni migahawa ya watu weusi Wenzenu. Click to expand... Kweli, ndiyo iliyobaki, lakini haitoshi kutupa haki zetu za uananchi, kwani wewe ni foreigner nchini kwako ndani ya mgahawa wa kichina?