NNZ Classic Beauty, Mbagala

NNZ Classic Beauty, Mbagala

liolio

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
40
Reaction score
8
NNZ CLASSIC BEAUTY

Nunua na urudishiwe pesa yako.

Vigezo na Masharti

1. Mteja aliye kwenye droo ya punguzo la bei tu ndio atakayeweza kulipwa faida hiyo.

2. Sifa za mteja aliyeingia kwenye droo ya punguzo la bei ni yule aliye fanya manunuzi au kushawishi watu kununua bidhaa kumi ndani ya duka letu.

3. Ili mteja aliye kwenye droo ya punguzo la bei aweze kulipwa anatakiwa afanye manunuzi au ashawishi watu wafanye manunuzi na kufikisha jumla ya sh 5000 ya gawio lake ndani ya mwezi mmoja.



4. Chini ya hapo hautaweza lipwa faida yako.

5. Hesabu ya kujipatia faida inatokana na aina ya bidhaa kama ilivyo kwenye kiambatanisho cha bei na gawio lako.

6. Utapata zaidi kama ukimshawishi mtu akafanikiwa kuingia kwenye droo. Kila Tsh 5000 ya gawio atakayofikisha ndani ya mwezi mmoja wewe utapata Tsh1000 toka dukani.

7. Mtu huyo uliyemshawishi anauwezo na yeye wa kushawishi mwingine kuingia kwenye droo na yeye kujipatia Tsh 1000 kwa kila Tsh 5000 atakayo ipata aliye mshawishi ndani ya mwezi mmoja.

8. Ikumbukwe ukishindwa kufikisha gawio la Tsh 5000 ndani ya mwezi hautolipwa na na wajuu yako pia hatolipwa Tsh 1000 yake ya ziada.

9. Kila mtu anauwezo wa kushawishi zaidi ya mtu mmoja kuingia kwenye droo ili kujipatia zaidi.

NUNUA ZAIDI, UZA ZAIDI, SHAWISHI ZAIDI UPATE ZAIDI

NB:

Kiambatanisho cha bei na gawio kinapatikana dukani

Mawasiliano

0719 331244
 
Back
Top Bottom