waolewe wao uumie wewe? oa na wewe kwani tatizo nini? nawaza tu kwa sauti.!!!
wewe kwanini hukuwaoa
sema maisha hayako fair kabisa, unaweza ukapoteza kitu unachokipenda hivi hivimkuu kodi ya meza asubuhi si mchezoo
sema maisha hayako fair kabisa, unaweza ukapoteza kitu unachokipenda hivi hivi
haya maisha tunomaaa sana mpaka jamaa analalama...
Angalia movie Moja inaitwa Goodluck Charm. Labda nawe una kagundu kama ka mshikaji yeye akigonga wanawake wanaolewa ila yeye hadumu kwenye mahusianoHabari zen wana jukwaaa.
Hope mwaka vizuri. Kwa upande wangu naona nina kamkosi
Wanawake watatu waliopita kila tukiachana tuu ndani ya miezi kadhaa wananiambia kuwa wanaolewa sasa nashangaa inakuwaje sasa yaani baada ya miezi tuu wao wanaolewa na mie nabaki tapa tuu na mke?
Au hawa alikuwa jemba zao baada ya mie kuwabwaga anajirudisha kwa majamaa wao?