Nnauliza kuhusu dawa ya uhanithi

Lavan Island

JF-Expert Member
Oct 24, 2015
2,377
2,041
Habari za humu wana Jf
Ninaomba kufaham ni wapi au njia nnaweza kupata dawa ya ugonjwa wa uhanithi.Nina rafiki yangu ana hilo tatizo dushe yake inasimama kwa mwaka mara moja tu.

Je kuna tiba ya huu ugonjwa jamani.??
 
Back
Top Bottom