Nnahitaji software ya kuedit picture ya kununua kama unayo

Ustadh tongwe

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2020
Posts
782
Reaction score
2,030
Nnampango kuanza kupiga picha kwenye ka stationary kangu nnahitaji software inayoweza kutumika Ku edit picha laptop nnayo na printer ya picha.
 
Nnampango kuanza kupiga picha kwenye ka stationary kangu nnahitaji software inayoweza kutumika Ku edit picha laptop nnayo na printer ya picha
Software haitokusaidia ukiwa hujui kuitumia mkuu. Tumia photoshop unaweza hata download photoshop ambayo imetolewa vitu visivyohitajika inakuwa na kama mb 120
 
Sawa mkuu ahsante kwa ushauri
 
Nnampango kuanza kupiga picha kwenye ka stationary kangu nnahitaji software inayoweza kutumika Ku edit picha laptop nnayo na printer ya picha
Tafuta photoshop mkuu,kwanzia cc2015 lakin nakushauri ukipata cc 2019 ni njema zaidi halafu jinsi ya kuitumia unaweza mtafuta mtu mwenye uzoefu au uanze kukesha na tutorial youtube,kila la kheri
 
Shukrani mkuu
 
kwa kuanzia achana na photoshop anza na luminar neo utanishukuru baadae, then pole pole ndo uanze kujifunza Adobe lightroom finally Photoshop.
 
Unataka kueditije picha?
Unataka kufanya photo manipulation , color grading, color correction au kitu gani?
 
Back
Top Bottom