Nna shida na gari

Habarini wana jamvi nna shida na gari japokua bajeti yangu kidogo ni ya mashaka mkuu mshana jr na RRONDO naomba mnisaidie maana nmeona kidogo nyie mna ideas na magari...gari zenyewe ni spacio au gx 110 grand au runx au premio new model hata zikiwa namba c sio mbaya japo bajeti yangu ni ndogo lakini zisiwe zimetumika sana...bajeti yangu ni 6.5 mwisho
Gari umepata njoo PM
 
Ukikwama wasiliana nami kwa pesa hiyo nikupe Toyota corola speed 240,umbo maarufu samaki/touring wewe utakuwa third hand halikurumika kibiashara hadi sasa liko KTK hali nzuri.
 
Habarini wana jamvi nna shida na gari japokua bajeti yangu kidogo ni ya mashaka mkuu mshana jr na RRONDO naomba mnisaidie maana nmeona kidogo nyie mna ideas na magari...gari zenyewe ni spacio au gx 110 grand au runx au premio new model hata zikiwa namba c sio mbaya japo bajeti yangu ni ndogo lakini zisiwe zimetumika sana...bajeti yangu ni 6.5 mwisho
0655229028
 
IMG-20171011-WA0067.jpg
IMG-20171011-WA0073.jpg

Hii gari imetoka juzi kwa 4.5m ni namba D...Ni ya jamaa yangu ameuza ila angewapa madalali ungesikia habari za million 7.5 huko
Zeus1
 
Back
Top Bottom