Habar wana mmu..nna rafk angu ambaye ametokea kumpenda sana msichana mmoja hv and amefanya kila kitu kujaribu kumshawish lakn imeshndkana kumpata. Kw sasa n zaid ya miez 6 imepita wanawasaliana vzr tu bt dem anahtaj only friendshp.je aendelea kukomaa au apotezee