Haa haaaa Jf kuna machizii kweli umenichekeshaaa huyoo mbahili Nani kwa usawa huu anataka Janaume Suluali..Utasubiri sana Hata ukimpata Wa ivyoo juaa utasaidiwa tu..wanaume huwa mnakoseaga hapoo ylyaani unakuta MTU ana mpenzi hajui lotion take perfume Nguo take ya ndani..Basi huna mnunulie Hata Sabuni ya Mawingu.au mbuni Soap..ubahili wenuuu ndoo unaofanya mpigie Mechi halafu mnakuka kulialia hapa..sikatai wapi wanawake ambao hawaridhiki Hata umpe ilaaa Idadi ukilinganisha na wanaoamua kubadili mawazo kwa jili ya Jamaa kuwa mbahili na kutojari kanuni yaa mapenzi toka kwa mwanaume kwenda kwa mwanamkee ni.wengi....Mfano tuchukulie Kampuni inayojiweza na isiyojiweza IPI utapata tenda.za uhakika..ni Kampuni inayojiweza..Kanisani Muumini anayetoa mafungu na Asiyetoa Nani anashirikishwa kwenye maamuzi nyeti??jibu usinipee...Hata Baba na mama sana watoto 2 anayejari na anayekumbuka nyumbani wakirudi woote rikizo kusalimia Ammini usiamnini atakayenyekewa na kuulizwa soda na Hata usiku kutandikiwa Godoro na shuka safi ni yule anayejari Hata kama ni Mdogo..wewe mkubwa na ubahili wako au kutokuwajibika utaombwa samahani tu kwamba huyu ataumia akilala kwenye mkeka..Sasa wewe utakayekuja kubisha hiki bisha tu..But the Fact will remain there!!Unataka vya bure bure...........
Wake za watu wala hawana usumbufu kabisa. Ni kama kumsukuma mlèvi hiviNyinyi watoto mna tabu sana, sasa namna hii utaweza kweli kumtongoza mke wa mtu na pete yake ya ndoa kidoleni?
Una umri gani?Dah jaman cjui n udomo zege au n nn nashndwa kumtongoza mwanamke na kila nitakayepata ana mtu wake cjui nifanyaje
Unampa bure au unamuuzia?Njoo nikupe wangu nitatafuta mwingine mkuu..
Just concetrate na vitu vyako vya msingi kwanza, kama kazi,masomo au biashara zako tena kwa bidii na kumwomba Mungu akupe mtu sahihi kwako, kama una miaka 23 usijali bado hujachelewa kabisa.Yaan kwanz kila mwanamke ambaye nitafanikiwa kuweza kuchat naye ananiambia ana mtu wake
asiulize ndio mengine yatajulikana mbele kwa mbele.Jaribu bahati yako kwa kukomaa kumsumbua
Haya nisikilizeni kwa makini nyie wote ambao hamuwezi kutongoza (madomo zege) ingawa mimi silipendi hili neno domo zege. Kwanza mnatakiwa kufahamu kuwa mwanamke ni kiumbe mwenye huruma sana na mwelewa ila hataki kujulikana udhaifu wake,hapa namaanisha hupima maneno ya mtongozaji na juyatafsiri kwa namna tofauti kabla ya kufanya maamuzi au kutoa majibu. Huwaza labda unamkejeli,humpendi na umemtamani,unataka kumchezea au unataka kulipa kisasi. Sasa inakubidi uwe makini kidogo kumwendea huyu kiumbe. Unapompenda mwanamke kikibwa kabisa peleleza rafiki yake au mtu wke wa karibu na umuulizie habari zake kwa uchokozi kisha omba namba yake ya simu ikiwa anayo. Jenga tabia ya kumsalimia kila uchao na kuonesha unajali kama umeamkaje leo,umeshakunywa chai,umeshafika kazini,umepata lunch,unatoka muda gani?,naweza kukupick ulipo nikupeleke home ,usiku mwema,njozi njema kisha chokoza niote hapo lzm atachokonoka tu. Mtoe outing kwa kumpeleka labd dinner au beacha kupunga upepo na kadalika,jaribu kuonesha mahaba kw vitendo zaidi kuliko maneno atakuona km tapeli. Umesafiri mletee zawadi hata ni pipi onesha unajali,usikwazike na kukata tamaa kwa vile hajakujibu msg kwa wakati,kachelewa kupokea simu n.k maana hujui yupo ktk mazingira yapi. Jenga tabia ya kumsifia hat kwa jambo dogo ataona unamjali na unamfuatilia kwani mwanamke hupenda mwanaume wA hivyo. Ukitumia mbinu hii kwa mwezi au miezi miwili mfululizo unatengeneza upendi na hisia kali mawazoni mwake kiasi kwamba km mwanaume alienae hafanyi hayo atajiuliza maswali kumbe kuna mtu anaempenda na kumjali kwanini asiwe nae?,ukikaa siku mbili bila kumtafuta ataanza kukusumbua lazima,upo,mbona kimya,umenisusa au nakubore ujue hapo mtoto kakolea mkukutana ukimpa busu tu ataweka shavu sawa umeibua ngoma mengine mtaelewana mbele ya safari. Hizo ni baadhi ya mbinu ya kumpata msichna umtakae ikiwa huwezi kutongoza hat kama ana bwana atamwacha wanawake wanapenda kujaliwa kwa vitu vidogo vidogo asikwambie mtu.
kumpata mwanamke tumia njia tatu nazo ni (a)tumia pesa (b) tumia pesa (c) we endelea kutumia pesa
Una dhambi, kaungameDah jaman cjui n udomo zege au n nn nashndwa kumtongoza mwanamke na kila nitakayepata ana mtu wake cjui nifanyaje
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]hata kwa cm pia huwez
Afadhali dada umemtafunia kabisa aiseee...[emoji12]Mimi ni dada samahani,kwa mbinu zaidi njoo inbobo hapa sitaki chambo
Ikiwa hata huku jamvini ameshindwa kujimilikisha hata mmoja, hayo mengine ni more advanced kwa mleta uzi aiseeeeNyinyi watoto mna tabu sana, sasa namna hii utaweza kweli kumtongoza mke wa mtu na pete yake ya ndoa kidoleni?
Hata mm pia nataka kuja unipe mbinuMimi ni dada samahani,kwa mbinu zaidi njoo inbobo hapa sitaki chambo