Nmeshindwa kupata mpenzi

Sikiliza wimbo wa Wateule unaitwa 'watu kibao'... Ukifika sehemu anasema 'Hapa hapa tukakomaa nao'... Rudia rudia alafu baada ya hapo utapata ujasiri wa kukomaa nao ivyo ivyo japo kila kona wamecover watu kibao...
 
yaani unashindwaje? mfano ndo upo na dame inakutokea nini..
 
Mimi ni dada samahani,kwa mbinu zaidi njoo inbobo hapa sitaki chambo
ukisema hapa utawasaidia wengi funguka watakupa ulinzi vijana wengi wa siku hizi midomo ni majabali hawawezi kuzungumza na warembo wapo wengi tu humu help them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…