falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,186
- 9,288
wakuu habari.
leo nimekutana na ile kitu inayoitwa bikra feki, sio kwamba kuna bidada kanifanyia ujanja hapana bali ni bikra yenyewe ikiwa inauzwa kwa ajili ya kutulaghai sisi wanaume. sasa hapa ndio nimepata wasiwasi mkubwa kuwa ni wanaume wangapi wamefanyiwa mchezo huu bila kujua. jamani dada zetu kuweni real mimi hata kama unajiuza as long tumependana wala sisikilizi mtu, usipate tabu kwenda kununu bikra. Hata mmarangu wangu hajaniwekea hizi bidhaa adimu yeye nilimkuta na yake original ndio maana kanishawish kuanza kufikiria kuoa. sasa kutokana na format za jamiiforums itabidi hii picha niiupload hapo chini kisha mjitathmin mara mbili.
thank u watu wote kilema Marangu