Nmekutana na Bikra feki ikiuzwa

Nmekutana na Bikra feki ikiuzwa

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,213
Reaction score
9,334
wakuu habari.
leo nimekutana na ile kitu inayoitwa bikra feki, sio kwamba kuna bidada kanifanyia ujanja hapana bali ni bikra yenyewe ikiwa inauzwa kwa ajili ya kutulaghai sisi wanaume. sasa hapa ndio nimepata wasiwasi mkubwa kuwa ni wanaume wangapi wamefanyiwa mchezo huu bila kujua. jamani dada zetu kuweni real mimi hata kama unajiuza as long tumependana wala sisikilizi mtu, usipate tabu kwenda kununu bikra. Hata mmarangu wangu hajaniwekea hizi bidhaa adimu yeye nilimkuta na yake original ndio maana kanishawish kuanza kufikiria kuoa. sasa kutokana na format za jamiiforums itabidi hii picha niiupload hapo chini kisha mjitathmin mara mbili.

thank u watu wote kilema Marangu
 
hivo ndio kunaendanga
 
Attachments

  • IMG-20170421-WA0007.jpg
    IMG-20170421-WA0007.jpg
    24.8 KB · Views: 83
Mkuu hizo mbona zipo tangu zamani?.

Tunatofautiana haswa. Mimi ukinambia wewe ni Bikra sikutoboi ng'oo, kafanye kwanza huko kisha ndipo uje tuendelee.

Mambo ya kupigishana kelele na uuwii chumbani wakati mimi nawaza kupata mautamu zaidi siwezi kabisa.
 
Mkuu hizo zipo tangu zamani mbona?.

Hahahaaaaaa uwiiii nimekupenda bure
 
aaaah sio mchezo, sijui tutakuwa tumeibiwa wangapi mpka saizi...!
 
wakuu habari.
leo nimekutana na ile kitu inayoitwa bikra feki, sio kwamba kuna bidada kanifanyia ujanja hapana bali ni bikra yenyewe ikiwa inauzwa kwa ajili ya kutulaghai sisi wanaume. sasa hapa ndio nimepata wasiwasi mkubwa kuwa ni wanaume wangapi wamefanyiwa mchezo huu bila kujua. jamani dada zetu kuweni real mimi hata kama unajiuza as long tumependana wala sisikilizi mtu, usipate tabu kwenda kununu bikra. Hata mmarangu wangu hajaniwekea hizi bidhaa adimu yeye nilimkuta na yake original ndio maana kanishawish kuanza kufikiria kuoa. sasa kutokana na format za jamiiforums itabidi hii picha niiupload hapo chini kisha mjitathmin mara mbili.

thank u watu wote kilema Marangu

Tutajuaje kama ilikua og iyo ya mmarangu tupicha pls
 
Mkuu hizo zipo tangu zamani mbona?.

Tunatofautiana haswa. Mimi ukinambia wewe ni Bikra sikutoboi ng'oo, kafanye kwanza huko kisha ndipo uje tuendelee.

Mambo ya kupigishana kelele na uuwii chumbani wakati mimi nawaza kupata mautamu zaidi siwezi kabisa.
bora hata ungetoboa mwenyewe maana akienda kutobolewa na pini kubwa halafu akirudi kwako akute kibamia rojo, ndio basi tena
 
Back
Top Bottom