Bank ya NMB imeanzisha kilimo account ambayo imezinduliwa mwenzi wa kumi na moja katika mkoa wa mtwara. CEO wa nmb amesema account hiyo ya kilimo itakuwa na interest ya 6% na itakuwa haina mantanance fees.
Nia ya hiyo ya account ni kumsaidia mkulima kusave fedha na baadae kutumia hiyo fedha kununua pembejeo za kilimo