Noel wa ruben
JF-Expert Member
- Oct 11, 2020
- 364
- 517
Na leo wametoa tahadhari kwa wateja wengi sanaUmesha dukuliwa mkuu, hakunaga app inayo jipakua yenyewe kwenye devices
Uko sahihi kabisa ukiupdate tu kwisha habari yakoNMB wameachia update ya app yao lakini imekuwa mbovu haijawahi kutokea,kibaya zaidi ukiwa na version ya nyuma ukiifungua inagoma uki-update nayo inagoma.
Ile app ya mwanzo ilikuwa kwa kiasi inajitosheleza na ilikuwa friendly kwa matumizi,ma-IT wa NMB dizain ni makanjanja walitakiwa wajue wakiboresha kitu hakiwezi kikafanya kazi 100% wangeacha milango ya kutumia app ya mwanzo wakati wakirekebisha hizo errors lakini sasa uki-downgrade haikubali uki-update haikubali uki-uninstall still wanakuhimiza uitafute uitumie huku makosa hawajayarekebisha.
Wanakera kwel mm JAna nilijarbu Salary Advance wakazingua eti kisa sina Mkopo Nmb wakat Mshahara unapitia kwao Nmb?Kiukweli nimechukia Sana ukizingatia nilikua nauhitataji wa fedha, Sasa nimeshuka sehemu nikaamua niangalie salio ili nichukue fedha kwa ajili ya Mambo yangu kwa kutumia NMB mobile.
Cha kushangaza naangalia salio na kutana na NMB APP wakati nilisha zoea kuangalia salio kwa njia ya kawaida Sasa nimeingiza neno la Siri hola mwishowe nimefungiwa nimebaini tumelazimishwa kua na NMB APP bila kupewa taarifa, huu ni unyanyasaji mkubwa kwa wateja kulazimisha kua na app yao.
Nini kimejificha kwenye app hii hadi mtu alazimishe? Napiga simu huduma kwa wateja hawapokei wote wamelala.
Mtazoea tu ni kawaida tu ya kitu kipya mwanzoni watu kupiga keleleNMB wameachia update ya app yao lakini imekuwa mbovu haijawahi kutokea,kibaya zaidi ukiwa na version ya nyuma ukiifungua inagoma uki-update nayo inagoma.
Ile app ya mwanzo ilikuwa kwa kiasi inajitosheleza na ilikuwa friendly kwa matumizi,ma-IT wa NMB dizain ni makanjanja walitakiwa wajue wakiboresha kitu hakiwezi kikafanya kazi 100% wangeacha milango ya kutumia app ya mwanzo wakati wakirekebisha hizo errors lakini sasa uki-downgrade haikubali uki-update haikubali uki-uninstall still wanakuhimiza uitafute uitumie huku makosa hawajayarekebisha.
Ila app yao ilikuwa inatuma sms otp kila unapo log in , making it useless kama unatumia wifi au upo nje ya nchi.NMB wameachia update ya app yao lakini imekuwa mbovu haijawahi kutokea,kibaya zaidi ukiwa na version ya nyuma ukiifungua inagoma uki-update nayo inagoma.
Ile app ya mwanzo ilikuwa kwa kiasi inajitosheleza na ilikuwa friendly kwa matumizi,ma-IT wa NMB dizain ni makanjanja walitakiwa wajue wakiboresha kitu hakiwezi kikafanya kazi 100% wangeacha milango ya kutumia app ya mwanzo wakati wakirekebisha hizo errors lakini sasa uki-downgrade haikubali uki-update haikubali uki-uninstall still wanakuhimiza uitafute uitumie huku makosa hawajayarekebisha.
App za NMB zinasumbua sana, kila mara zinakutaka ubadilishe neno la siri.Kiukweli nimechukia Sana ukizingatia nilikua nauhitataji wa fedha, Sasa nimeshuka sehemu nikaamua niangalie salio ili nichukue fedha kwa ajili ya Mambo yangu kwa kutumia NMB mobile.
Cha kushangaza naangalia salio na kutana na NMB APP wakati nilisha zoea kuangalia salio kwa njia ya kawaida Sasa nimeingiza neno la Siri hola mwishowe nimefungiwa nimebaini tumelazimishwa kua na NMB APP bila kupewa taarifa, huu ni unyanyasaji mkubwa kwa wateja kulazimisha kua na app yao.
Nini kimejificha kwenye app hii hadi mtu alazimishe? Napiga simu huduma kwa wateja hawapokei wote wamelala.
Walinibembeleza sana kuniunga kwenye huo upuuzi wao. Nikawakatalia katakata. Maana nawafahamu fika namna walivyo wezi.Pole ila bora wewe , mimi nimepigwa na voda bima, nilijiunga baada ya kuona kila nikiumwa sipati pesa ya pole nikajitoa, ikachukua kama miezi 2 juzi nilipoweka tu pesa wakaanza kukata kuwauliza wananijibu wewe ni mwanachama wa voda bima
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app