NMB Wameita Interview?

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,341
Kuna kazi ilitangazwa nafasi ya bank teller deadline ilikua last week, vipi kuna ambaye amepata any information kuhusu interview au kutumiwa email
 
sasa jaman deadline last week saturday leo jnne tu iwe tayar
 
sasa jaman deadline last week saturday leo jnne tu iwe tayar
Najua mkuu mapema but kuna jamaa yang ametumiwa juzi email kua hajafanikiwa kupita kwenye recruitment process so inaelekea hata kuchambua applications naona tayari thus why i asked
 
Najua mkuu mapema but kuna jamaa yang ametumiwa juzi email kua hajafanikiwa kupita kwenye recruitment process so inaelekea hata kuchambua applications naona tayari thus why i asked
duh kama ni hvyo bas wenye taarifa watakupa majibu
 
Hyo katumiwa lini maana mm nimetumiwa ya kuitwa kama kuna MTU anajua MTU alietumiwa ya kuitwa aniambie plz
Na hii ni ya central zone ambayo tuliapply tangu July kwahyo hii ya system inachukua muda sana tofauti na ile ya kutuma bahasha ambayo ilikua ni ndani ya siku 14
 
Naombeni msaada wadau kama kuna MTU yeyote aliapply kazi ya NMB central zone na akatumiwa email ya kua amechaguliwa naomba aniPM plz its urgent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…