NMB wakala

NMB wakala

CMBO

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
398
Reaction score
339
Wakuu kwa yeyote ambae either kashawahi kuwa wakala wa NMB yaani anamiliki POS yao, na kwasababu yeyote ile aliacha biashara au anataka kuachana na hiyo biashara mimi shida yangu ni hiyo mashine.

Kama tunaeeza kufanya biashara (aniuzie) then twende branch tubadilishe details niitumie, nipo mazingira ya biashara ambayo wateja wangu wengi wamekuwa wakihitaji hyo huduma, napatikana Dar es salaam.

Anyone interested anicheki PM
 
Back
Top Bottom