cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 653
Hao NMB wanachonganisha serikali na wananchi wake; hiyo ada ya huduma wangeweza kuionyesha jumla ikujumuisha VAT mfano Badala ya withdrawa fee ya TZS 4,915.25 + VAT ya TZA 884.75 wangeonyesha Ada ya huduma TZS 5,800. CRDB wanatoza 6,000 lakini hawaonyeshi VAT na Ada kabla ya VAT peke yake.Habari,huu ni wizi mteja anaweka pesa zake mnazitumia kukopesha akitoa mnamkata kodi je yeye kafanya biashara gani?hii haiko sawa kabisa mmesema hakuna makato yoyote je huo siyo utapeli?View attachment 1045229
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakiificha kama crdb VAT ya nini kwa wateja NMB ndiyo wanatakiwa walipe VAT kwani ndiyo wanafanya biashara bwana wateja hawana leseni ya biashara ya fedha!!Hao NMB wanachonganisha serikali na wananchi wake; hiyo ada ya huduma wangeweza kuionyesha jumla ikujumuisha VAT mfano Badala ya withdrawa fee ya TZS 4,915.25 + VAT ya TZA 884.75 wangeonyesha Ada ya huduma TZS 5,800. CRDB wanatoza 6,000 lakini hawaonyeshi VAT na Ada kabla ya VAT peke yake.
Habari,huu ni wizi mteja anaweka pesa zake mnazitumia kukopesha akitoa mnamkata kodi je yeye kafanya biashara gani?hii haiko sawa kabisa mmesema hakuna makato yoyote je huo siyo utapeli?View attachment 1045229
Sent using Jamii Forums mobile app
elimu! elimu! elimu! elimu!....jamaa atakua alikua hapendi hesabu.Nadhani hapo ni Benki inalipa VAT kutoka kwenye Withdraw Fee waliyomkata mteja. Maana hiyo fee ni pato kwa benki, hivyo linastahili kukatwa VAT. Siyo mteja mteja nayelipishwa wajameni tupunguze mzuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu jaribu kupiga hesabu hapo.....18% ya 975.....benki ndo imelipa VAT.....sio mtejaBenki ndiyo wanatakiwa kukilipa VAT bwana mteja hafanyi biashara huu ujinga haufai
Sent using Jamii Forums mobile app
Benki inalipa VAT kupitia akaunti yangu?kweli!!mkuu jaribu kupiga hesabu hapo.....18% ya 975.....benki ndo imelipa VAT.....sio mteja
nan kasema wanalipia kupitia account yako....hio ni receipt tu mzee
kwa hio kuweka vitu wazi n uchonganish......???Hao NMB wanachonganisha serikali na wananchi wake; hiyo ada ya huduma wangeweza kuionyesha jumla ikujumuisha VAT mfano Badala ya withdrawa fee ya TZS 4,915.25 + VAT ya TZA 884.75 wangeonyesha Ada ya huduma TZS 5,800. CRDB wanatoza 6,000 lakini hawaonyeshi VAT na Ada kabla ya VAT peke yake.
nan kasema wanalipia kupitia account yako....hio ni receipt tu mzee
Mkuu kwa lugha rahisi ni kwamba hakuna mfanyabiashara anayekubali hasara kirahisi, zigo la mavi anaachiwa mlaji wa mwisho.Kwanini hautaki kumwelewa cheguevara au kusoma kwa makini anachokisema?
Hiyo sio receipt, ni bank statement. Hayo ni makato aliyokatwa kwenye akaunti yake.
Kweli wengi wetu ni wasahaulifu. Kumbu kumbu zangu zinaniambia kuna wakati bungeni hili jambo lilizua mjadala mzito sana hadi ikapelekea matamko kutoka kwa mawaziri, gavana na wataalam wengine, kilichotuumiza ni ile kusema VAT, ukishataja VAT tu anaeumia ni mtumiaji wa bidhaa. Lakini lengo la ile hoja ilikua kuwatoza pesa kwenye makato watoa huduma za benki na miamala ya simu. walitaka kwenye yale makato, wachangie kodi ya kile kiasi wanachomkata mteja. Sasa walipojichanganya kusema VAT, hapo kibao kikagezwa kwa mlaji.
Hata hivyo vyovyote ambavyo wangefanya, bado watoa huduma wangeongeza tozo muathirika angebaki kuwa mwananchi wa kawaida.
mi nafikiri wanafanya vizuri kabisa, kwa nini watufiche kama kuna kodi nalipa kupitia kwao?!? Duuh, hii ni hatari najiuliza ni nani anatozwa kodi hapo? NMB au MTEJA?!? maana mimi kutoa fedha yangu nimefanya biashara gani?!? mwisho wa siku VAT ina utaratibu wake wa kurudishiana sijui mimi ntarudishiwaje.(VAT: Alue Added Tax) nimetoa fedha, kuna thamani gani hapo nimeongeza?!??Hao NMB wanachonganisha serikali na wananchi wake; hiyo ada ya huduma wangeweza kuionyesha jumla ikujumuisha VAT mfano Badala ya withdrawa fee ya TZS 4,915.25 + VAT ya TZA 884.75 wangeonyesha Ada ya huduma TZS 5,800. CRDB wanatoza 6,000 lakini hawaonyeshi VAT na Ada kabla ya VAT peke yake.
Kwanini hautaki kumwelewa cheguevara au kusoma kwa makini anachokisema?
Hiyo sio receipt, ni bank statement. Hayo ni makato aliyokatwa kwenye akaunti yake.
Kweli wengi wetu ni wasahaulifu. Kumbu kumbu zangu zinaniambia kuna wakati bungeni hili jambo lilizua mjadala mzito sana hadi ikapelekea matamko kutoka kwa mawaziri, gavana na wataalam wengine, kilichotuumiza ni ile kusema VAT, ukishataja VAT tu anaeumia ni mtumiaji wa bidhaa. Lakini lengo la ile hoja ilikua kuwatoza pesa kwenye makato watoa huduma za benki na miamala ya simu. walitaka kwenye yale makato, wachangie kodi ya kile kiasi wanachomkata mteja. Sasa walipojichanganya kusema VAT, hapo kibao kikagezwa kwa mlaji.
Hata hivyo vyovyote ambavyo wangefanya, bado watoa huduma wangeongeza tozo muathirika angebaki kuwa mwananchi wa kawaida.
Acheni bangenan kasema wanalipia kupitia account yako....hio ni receipt tu mzee