Siendi na siku wakizuia huduma ndio siku nahama, dunia ya leo unaniita kuhakiki kitu gani huko benki, wangetoa maelezo online wanaoshindwa ndio wasogee kwenye matawi,
acc nimesajili mwaka jana na kitambulisho cha nida activity zote wanazijua kisha wakanisimamishe masaa mawili kwa foleni
Foolishness