Mzungu Pori
Senior Member
- Jan 22, 2014
- 163
- 309
Mkuu Kama huna account twitter nenda kule ukatoe malalamiko kwa kuwatang NMB wenyeweHabari ya jioni wana jf?
Mm muda mfupi uliopita nimefanya muamala kutoka NMB kwenda m pesa kwenye simu yangu cha ajabu ni kwamba pesa imeshatoka NMB ila m pesa haijafika. Nimewapigia vodacom wanasema pesa haijafika m pesa so ikabidi niweke salio kwenye simu yangu nimewapigia NMB mobile hawapokei na muda wa maongezi wamekomba wote.
So hela haijulokani imekwama wapi? Hawapokei simu na muda wa maongezi wamekomba. Sasa kama mtu una mgonjwa mahututi hapo inakuwa imekaa vipi wadau?
Hata hamna haja ya Ku tweet maana Hamna wizi hapo, network tu asubili baada ya siku 72Mkuu Kama huna account twitter nenda kule ukatoe malalamiko kwa kuwatang NMB wenyewe
Toa malalamiko Benki kuuHabari ya jioni wana jf?
Mm muda mfupi uliopita nimefanya muamala kutoka NMB kwenda m pesa kwenye simu yangu cha ajabu ni kwamba pesa imeshatoka NMB ila m pesa haijafika. Nimewapigia vodacom wanasema pesa haijafika m pesa so ikabidi niweke salio kwenye simu yangu nimewapigia NMB mobile hawapokei na muda wa maongezi wamekomba wote.
So hela haijulokani imekwama wapi? Hawapokei simu na muda wa maongezi wamekomba. Sasa kama mtu una mgonjwa mahututi hapo inakuwa imekaa vipi wadau?
Hata hamna haja ya Ku tweet maana Hamna wizi hapo, network tu asubili baada ya siku 72
ExitHizi akili za kushikiwa shida Sana.
Vip hela yako ilirudi...mi jana nimehamisha pia haijafika!!Habari ya jioni wana jf?
Mm muda mfupi uliopita nimefanya muamala kutoka NMB kwenda m pesa kwenye simu yangu cha ajabu ni kwamba pesa imeshatoka NMB ila m pesa haijafika. Nimewapigia vodacom wanasema pesa haijafika m pesa so ikabidi niweke salio kwenye simu yangu nimewapigia NMB mobile hawapokei na muda wa maongezi wamekomba wote.
So hela haijulokani imekwama wapi? Hawapokei simu na muda wa maongezi wamekomba. Sasa kama mtu una mgonjwa mahututi hapo inakuwa imekaa vipi wadau?
Hairudi hadi uende bank kujaza fomu ya kudai.Vip hela yako ilirudi...mi jana nimehamisha pia haijafika!!
Aisee sitahau mwezi was tisa nilienda kulipia park fees NMB pale Arusha! Nikajisahau nikachanganya $$ zilizotakiwa kulipwa na ambazo hazikuwa kwenye plan ya malipo! Nikiwa bado naziona hela zangu nilizompa ili nipunguze mdada na rasta zake huwezi amini alininyima akazichanganya na nyingine na kunirudishia $200 tu ambapo alitakiwa anirudishie $400 iliyozidi! Nilisarender baada yakugundua sizipati hata nifanyaje! Uaminifu bank zetu ni nadra sana nikuwa makini sana!Habari ya jioni wana jf?
Mm muda mfupi uliopita nimefanya muamala kutoka NMB kwenda m pesa kwenye simu yangu cha ajabu ni kwamba pesa imeshatoka NMB ila m pesa haijafika. Nimewapigia vodacom wanasema pesa haijafika m pesa so ikabidi niweke salio kwenye simu yangu nimewapigia NMB mobile hawapokei na muda wa maongezi wamekomba wote.
So hela haijulokani imekwama wapi? Hawapokei simu na muda wa maongezi wamekomba. Sasa kama mtu una mgonjwa mahututi hapo inakuwa imekaa vipi wadau?
So hela haijulokani imekwama wapi? Hawapokei simu na muda wa maongezi wamekomba. Sasa kama mtu una mgonjwa mahututi hapo inakuwa imekaa vipi wadau